Barua Toka Jaramogi na kenyatta Wanauliza kama Kenya kuko sawa Nikawajibu Kenya tuko na disaster Watoto wetu wanazidi kuzikana Na Tom Mboya ameshika tama Alituacha kama angali kijana Je angekuwa mambo Yangekua sawa? Ndivyo Alivyopanga Maulana Deni Mlizowacha bado tunalipa (tunalipa) Na tumekopa zingine China Tukajenga reli pia barabara Zilizobaki watu wakasanya So tujiangalie (tujiangalie) Tuko pabaya leo kuliko jana Sikio la kufa halisikii dawa Tuko kwa Twitter tunajibizana Tujiangalie (tujiangalie) Tuko pabaya leo kuliko jana Tusipo ziba ufa tutajenga kuta Tusake Zetu Tungali vijana Waumini kwa mathree na passie kwa bimmer Kushoto fungu la kumi Sadaka kulia Ndio maana mbele ya kanisa mheshimiwa Anakula sacramenti Kabla ya raia Siku za mwisho zimeshawadia Na Revelation inatuambia Hii generation inachoma picha Ni generation yetu So tujiangalie (tujiangalie) Tuko pabaya leo kuliko jana Sikio la kufa halisikii dawa Tuko kwa Twitter tunajibizana Tujiangalie (tujiangalie) Tuko pabaya leo kuliko jana Tusipo ziba ufa tuta jenga kuta Tusake Zetu Tungali vijana Michuki alisema tufungeni mikanda Ona leo twavuna tulichopanda Kura zetu zilitugawanya Makabila na pesa pia tulimanga So when you make your bed oh You lie on it oh! Usingizi gani tumelala? Tutajua hatujui Vision 2030 itabaki ni story Tujiangalie (tujiangalie) Tuko pabaya leo kuliko jana Sikio la kufa halisikii dawa Tuko kwa Twitter tunajibizana Tujiangalie (tujiangalie) Tuko pabaya leo kuliko jana Tusipo ziba ufa tutajenga kuta Tusake Zetu Tungali vijana Mdosi aliniambia Freedom never comes for free We vote tribe, ama real cash, ask Boni Tuna roll mahali hamwezi Ita GSU plus doggy World mzima Twitter KOT ndio first body Burn picha si ni waafrika Black coffee (Annan) I'm richer than my neighbor but we both in the slum If the rich always win then Why should the popular run? Unless democracy ni word si usema Only for fun Tujiangalie (tujiangalie) Uh, na hii weekend tuko Church Tunauza sura kabisa Post ya haga Huenda poa sana na Caption ya scripture Kaa hiyo ndio gospel Pitisha bag ya sadaka kwa club Tujiangalie (tujiangalie) Uh, traffic madrug ubuy ndai Traffic mandai zina drag Ku admire mwizi amemake it Story za shamba wamegrab Mkono inahonga imevaa Bracelet ya colors za flag Yeah!