Nakuomba Nerea, usitoe mimba yangu we Mungu akileta mtoto, analeta saa ni yake Mlete nitamlea, usitoe mimba yangu we Mungu akileta mtoto, analeta saa ni yake Huenda akawa Obama, atawale Amerika Huenda akawa Lupita, Oscar nazo akashinda Huenda akawa Wanyama, acheze soka Uingereza Huenda akawa Kenyatta, mwanzilishi wa taifa Nakuomba Nerea, usitoe mimba yangu we Mungu akileta mtoto, analeta saa ni yake Mlete aitamlea, usitoe mimba yangu we Mungu akileta mtoto, analeta saa ni yake Huenda akawa Maathai, ayalinde mazingira Huenda akawa Makeba, nyimbo nzuri akatunga Huenda akawa Nyerere, aongoze Tanzania Huenda akawa Mandela, mkombozi wa taifa Nakuomba Nerea, usitoe mimba yangu we Mungu akileta mtoto, analeta saa ni yake Mlete aitamlea, usitoe mimba yangu we Mungu akileta mtoto, analeta saa ni yake Nakuomba Nerea, Nerea, Nerea Usitoe mimba yangu Nerea, Nerea, Nerea Usitoe mimba yangu Huenda akawa Kagame (Atawale) Jaramogi Odinga (Tuungane) Huenda akawa Tom Mboya Huenda akawa Rudisha Huenda akawa Malaika, Mungu Ametupatia Huenda akawa Sauti Sol Huenda akawa Amos & Josh Huenda akawa Huenda akawa Malaika, Mungu ametupatia