Kuna rada nilisahau kuwaambia Kuna chuom moja tunafaa kupitia Kuna madem mashashola na mabeer Ia ia, eeh na pia Madem ni sare na vijana ni mia Na ka utafika bei nitakuadisia Vibes ni true hakuna za bandia Ia, ia, ia Nimecheki Google Maps, Google Maps Hauskii kuna jam hadi Naks Nimecheki Google Maps, Google Maps Hauskii kuna jam hadi Naks Basi tutumie bypass, bypass Mdogo mdogo, bypass, bypass Leo tutanyongea, bypass, bypass Zitawakia, bypass TukTuk kwa bypass hapana Tutatumia RangeRover ya Savara Tupitie Jamia ninunue kashata Speed ya gari hubeba jaba Mdogo mdogo ndani ya jeep Leo tunanyonya ngata kama tick Niko kwa moti na Ric Lift si hupea maarif Kama baridi inakutesa tesa Njoo nikupe form (form) Nipitishie pon de leftment Iende chain Benzema na Savara Wanapendaga mavela Melanin rangi sawa Changanisha na aiyela Nimecheki Google Maps, Google Maps Hauskii kuna jam hadi Naks Nimecheki Google Maps, Google Maps Hauskii kuna jam hadi Naks Basi tutumie bypass, bypass Mdogo mdogo, bypass, bypass Leo tutanyongea, bypass, bypass Zitawakia, bypass Bypass, a a a... aiyelaa... Bypass, ma ma ma... mavelaa... Bypass, a a a... aiyelaa... Bypass, ma ma ma... mavelaa... (ABH Sound baby)