Yeah Wako night school, wananistudy show nikipiga Come through kuna maombitho time ikifika Niku-light tu na kama iko mtu anauliza Niko "Hi too" kaa mnairobi akisalimika Kuongeza feelings kwa plan yu fanya akili inajam Naingia venue na van, natoka venue na bag Daily nacount blessings, hauwezi jua day yenye tables huturn Na-rap na hunger ya upcoming Ata kaa hapa ni me ndo nakaa mdhamini Nani kaa mimi? Chorus mambo mbaya, maverse mambo mbaya Na bars na go harder than drugs I am larger than life family Wanaota vitu nishafanya twice Au nilishapata chance ni vile nili-analyse value nikachorea Kitu huangalii Mr. your favorite wants a picture with Shin Da Vinci Siri nimeeka mingi, kwa hii Shin City Tunaspeak in code lakini tunaelewana Unajua me si wa kujaribiwa Niheshimu utaheshimiwa, haribu utaharibiwa Mjinga ndo upandisiwa Finger ni ya kati kati kwa wale wanapinga Najibanza chini ya maji nikipanga mikakati T-shirt ni versace, reverse hatuendagi Mi saa nakula ka musician na si ju ya illuminati Na si kukam kudilly dally ju kusota yu ni piss off Ka inanice, raundi hii sichagui na price Cheki vile natupa madice kwa hii casino inaitwa life Ulisema siezi rudi, si unafaa uapologise I did it once, did it twice hio sitaacha uminimise Na shift culture kila saa na move (Shin city) Usiogope, au sio Already juu ukona mimi hapa future ishaimprove (Shin city)