Tunaget high kujientertain Au kuficha kapain Sema wallahi na unadanganya Life najua itakucane Peace of mind ndio kitu hawana Try kutuliza brain Naficha white nalipwa na fame Najua wanaskia kujimurrrr, uh Utaona disguise zikianza kufade Na time utaona tuchange Watatry kusema walikumake Nkt, si wangejimake?! Patience ya mine, huwaga inafail Unahaharibu vibes, unatupwa njei Unaskia nalight, napuliza j Najua wanaskia kujimurrrdaaah Days za mine of late Zote ni holiday Mula ni looong Nacheka na confidence Nakimbiza dopamine Najua kuna consequence But, mula ni looooong Days za mine of late Zote ni holiday Mula ni looong Nacheka na confidence Nakimbiza dopamine Najua kuna consequence But, mula ni looooong Naona masmile, naona maface Zingine familiar zingine naguess Blessed vile huwezi amini Nimeshinda siku mzima nafinya refresh Fresh narap kaa mimi Hakuna mtu mwingine natry kuimpress Yes, nacheka na nyinyi Nikichezanga chini Juu nacheza chess Kwa life ya mine we ni guest Ukitoka jua kuna next Ukiskia tamaa hiyo ni flesh Ukiishiwa jua we ni ex Niko on my grind kaa crusher Naplan hadi time ya kurest Pass bag hii side kaa usher Skia bars, hiyo ni Nairobi West You just wanna feel something (Just wanna feel) Maybe ni mimi Ni fame ama nini? Watiaji ni wengi Maflow ni baridi Mashow ni wazimu Madollar ni mingi Nikidai naeza bini ni bini ni bini Ukishakata simu Nishashika ingine Mwaka imejaa Kwa flyer ni mimi ni mimi ni mimi Ushaona kakitu na hujaona ata kitu Maybe ni mimi Ni fame ama nini? Watiaji ni wengi Maflow ni baridi Mashow ni wazimu Madollar ni mingi Kwa flyer ni mimi Ni mimi Ni mimi Ni mimi Ni Mimi Days za mine of late Zote ni holiday Mula ni long Nacheka na confidence Nakimbiza dopamine Najua kuna consequence But, Mula ni looooong Days za mine of late Zote ni holiday Mula ni long Nacheka na confidence Nakimbiza dopamine Najua kuna consequence But, Mula ni looooong