Ni mi Damp, governor wa Shin city While you've been gossiping, I've been busy Net worth iko high ka sauti ya Kindiki Ma show ziko packed huezi susu no Diddy Wanasue haina issue no biggie Big shoes toto kuzi-fill sio easy I made millionaires, wakakuwa greedy Wana njaa excess wameshindwa kuistiri Kama stripper, au mafisi Industry mzima hutry kumove kama sisi Ona tukimuok wanaingiza baridi Silver kwa wingi, Shin ni Wanjigi Wamejaribu kuharibu jina imekataa Nawashinda na akili na chapaa Toka na story zao za kijinga Kuja mahali kuna ma-brown ka kabinga Naziletanga vile unataka nizibring (never lie) Niko busy nakugidi what you want Wako itchy wanataka kuingia kwa mix (never lie) Busy nakugidi what you want Niko busy, number zote busy Busy sana busy Busy nakugidi what you want Niko busy, siku zote busy Busy kama busy Busy nakugidi what you want Touch down, naingia nawin na-go missing Top tier my dear, my millions I'm eating Nashiba mpaka mnajiita ma-meeting Nikiitwa beat inapatanga beating Ni slaps, mi nko na drink huoni glass Mr Macheez mon nasip joh ni black Si ati ni jokes au naringa ni facts Kwangu ile gross wanalipwa ni tax I've been putting in work Nimekuwa famous for years na ina perks Ma-young'in waligrow wakiniskia wanarap Hakuna kitu unaeza niambia naget busy Naziletanga vile unataka nizibring (never lie) Niko busy nakugidi what you want Wako itchy wanataka kuingia kwa mix (never lie) Busy nakugidi what you want Niko busy, number zote busy Busy sana busy Busy nakugidi what you want Niko busy, siku zote busy Busy kama busy Busy nakugidi what you want Naziletanga vile unataka nizibring Nakugidi what you want Wako itchy wanataka kuingia kwa mix (never lie) Gidi What you want Niko busy, busy, busy Never lie Busy, busy, busy