Who does it better than us? Nishow, ndio nicall hiyo bluff Millionaire na nalia ni kutough Nikaa kuwa highest paid si enough Kila mtu anataka something Kila mtu anakuwanga hunting Naombwa mapicha hadi church Hii shit hukuwanga demanding Ndomana velani ni must First of all nashukuru God niko hai ye Superstar ndio maana sikuwangi outside Huh? Mini business utaniaddress vipolite Hii ni kismet hapa jo mambo vulai Nakubless unafurahi Nothing else unadai Nanavigate hizi streets Zimejaa mabeast Hawataniwai Maisha marefu ikunaize I hope ufind ikigai I hope ufind ikigai Who does it better than us? Nishow, ndio nicall hiyo bluff Millionaire na nalia ni kutough Nikaa kuwa highest paid si enough Kila mtu anataka something Kila mtu anakuwanga hunting Naombwa mapicha hadi church Hii shit hukuwanga demanding Man Ndomana velani ni must Nataft maziws Nipe familia Shamba nalima imejaa na watiaji Watu wazima inafaf kuwa clear Unakataa kusoma unaanguka mtihani Uko kwa process ya kuchanuliwa Unakataa kusaidiwa Unapata unaishiwa Una sahauliwa Usiharibu biasha Si unajua vile ku-enda Tukizoeana Ma-Ego ziugongana Kila mtu anajipend Ata kaa unajipenda Hatuaitoshana Mi najua vile ku-enda tukizoeana Na mi hapana kijana Mi hapana shindana Who does it better than us? Nishow, ndio nicall hiyo bluff Millionaire na nalia ni kutough Nikaa kuwa highest paid si enough Kila mtu anataka something Kila mtu anakuwanga hunting Naombwa mapicha hadi church Hii shit hukuwanga demanding Man Ndomana velani ni must Nii si easy win Hii ni hard work ju ya discipline Naona rapper aliisha ako bitter Anatweet "Wasanii watalearn" Silly him! Calm down buda mi ni Shin Been Him since the beginning Niko homeground wako visiting Streets love me for real Truth hurts no penicillin Show ya mine ni production Nakujaje tour tena bile team? Najitoa line up inaisha steam Mi ndio Headliner mzimbiting ha Fans wanaitisha marefund Mnacheza PR kama Gina Din Wanatry kunimaliza wanapata Chanceszao ziko really slim Aibu kwao mi ni msharp na sijali Wananidiscuss kwa magroupz Za WhatsApp, hawalali Wananisneak diss kwa macaption zao But of course hawanitaji Ngoma inaslap na si tafadhali Hata kaa hawataki bado wanakubali Unaskiza G.O.A.T. Taste yako ni mbay kaa bado unargue Naambia account yangu "I love you" Najua sauti yangu ina value Mtanijengea mahali kistatue Who does it better than us?