Only you babe Only you babe You're my only one My only one Some say a fool never change His mind well maybe Baby am a fool for you Mapenzi kipofu ukipenda maovu Huoni ooh love is blind Never seemed so true When I'm broke natumianga bro Please call me akipiga naomba dooh Mbona kuna message inajitumanga send me money Tukate long story short yoyoo Vumilia na mimi Please don't leave me Don't let the money fool you Sponsors just wanna use you Namwambia mtoto wa mama hasiharibikeee Ananishow ni biasharaa tuu Na siwezi mshibishaa na pangangaa tuuu Na mwezi ukiisha sina ujanja too Na renti ikibishwa huanga blunder wowoo... Bebi, bebi Kuwa nami wakati sina Leo sina kitu, kesho ntafanikiwa, mmm... Na nikibarikiwa Ahadi yangu ni sitasahau mahali nimetoka na weh Bebi Kuwa nami wakati sina Leo sina kitu, kesho ntafanikiwa, mmm... Na nikibarikiwa Ahadi yangu ni sitasahau mahali nimetoka na weh Only you babe Only you babe You're my only one My only one Girl I wanna, girl I wanna Girl I wanna take you to my mama Show her you're the one for me I'll never ever, never ever leave you believe Me when I say you will forever be my queen Yule nala naye kwa dhiki Ntala naye kwa faraja Ahadi yangu ndo hiyo Kama pamoja tumelia, tutacheka pamojaa Wou vumilia na mimi Please don't leave me Don't let the money fool you Sponsors just wanna use you Mtoto wa mama usiharibike eeii yeah Bebi, bebi Kuwa nami wakati sina Leo sina kitu, kesho ntafanikiwa, mmm... Na nikibarikiwa Ahadi yangu ni sitasahau mahali nimetoka na weh Bebi Kuwa nami wakati sina Leo sina kitu, kesho ntafanikiwa, mmm... Na nikibarikiwa Ahadi yangu ni sitasahau mahali nimetoka na wewewewe... Only you babe Only you babe My only one Okay sa naicheza kabubu Baby no more talk just do We mtamu kama buyu Zaidi ya kwa chini upo juu Forever be my only one Tukiachana itaniuma na Najua kuna nigga anangoja nichome Aruke ndani ka supersub Usiache ihappen Ishikilie ka siri Nikimake it in life then Nikushikilie pia mimi You make me, ooh babe don't let me go Stay beside me You make me complete, how will ma heart beat Without you? Bebi, bebi Kuwa nami wakati sina Leo sina kitu, kesho ntafanikiwa, mmm... Na nikibarikiwa Ahadi yangu ni sitasahau mahali nimetoka na weh Bebi Kuwa nami wakati sina Leo sina kitu, kesho ntafanikiwa, mmm... Na nikibarikiwa Ahadi yangu ni sitasahau mahali nimetoka na wewewewe...