Kondeboy, call me "number one" Babe, your eyes on my phone Yani utadhani body langu sexy sexy Hulioni Always on my phone Unatazama nani anae nitext text Ajabu humuoni You better know Upendo wangu umeugeuza fimbo Haya ni mapenzi sio ulimbo Matusi yamekuwa wimbo Hadi namiss kuwa single Moyo unapenda amani kwanza Kisha vitu vya thamani Why umalizi ukianza Kama tupo mahakamani You better go You better go Babe, I'll let you go Rhumba You better go I will let you go You better go I will let you go Sijakupenda unitendee You better go I will let you go Uende ama niendee You better go I will let you go Hadi namiss kuwa single Mwenzenu nina kichwa cha nyoka Siuwezi mzigo wa mawazoo Ninacho hofia meno yatanitoka Nguvu za kusukumana si nazo Nani kakuchoma mkuki Mbona damu zinanivujia mimi Na kukucheat sikumbuki Babe, utaniamini lini? Furaha imepotea Kila kitu kwako nakosea Oh, uh, kujitetea Hadi nishaanza kuzoea Moyo unapenda amani kwanza Kisha vitu vya thamani Why umalizi ukianza Kama tupo mahakamani You better go You better go Babe, I'll let you go Rhumba You better go I will let you go You better go I will let you go Sijakupenda unitendee You better go I will let you go Uende ama niendee You better go I will let you go Hadi namiss kuwa single Kondeboy, call me "number one"