Mjeshi hapa Wambieni wapinzani wanajisumbua Ccm chama chetu tumekichagua Wambieni wapinzani wanajisumbua Samia rais wetu tumekichagua Uongozi sio jambo rahisi Inataka watu majasiri Wameng'ang'ania ubishi Wanapinga vilivyo dhahiri Anayoyafanya Samia Eti hawayaoni Taifa linavyojengwa eti hawalioni Ajira kwa vijana Nazo hawazioni Uhuru na ujamaa nao hawauoni Mama usiwajibu Hatuwajibu Hatuwajibu lengo lao kuharibu Usiwajibu Hatuwajibu Hatuwajibu lengo lao kuharibu Mama kanyaga twende Mbele mbele kwa mbele We ccm twende Mbele mbele kwa mbele Kanyaga twende Mbele, mbele kwa mbele Tumechelewa sana twende Mbele, mbele kwa mbele Jeshi hapaa Wambieni wapinzani wanajisumbua Ccm chama chetu tumekichagua Wambieni wapinzani wanajisumbua Samia rais wetu tumekichagua Mpeni kura Samia mpeni kura Mpeni kura jamani mpeni kura Ajisikie Yupo nyumbani Mpeni kura Samia mpeni kura Mpeni kura mama apewe kura Ajisikie yuko nyumbani Anayoyafanya Samia Eti hawayaoni Eti anavyotuunganisha Pia hawamuoni Alivyo wekeza kwenya elimu Pia hawamuoni Mambo yote ya muhimu Tuseme hamuyaoni Mama usiwajibu Hatuwajibu Hatuwajibu lengo lao kuharibu Usiwajibu Hatuwajibu Hatuwajibu lengo lao kuharibu Mama kanyaga twende Mbele mbele kwa mbele We ccm twende Mbele mbele kwa mbele Kanyaga twende Mbele, mbele kwa mbele Tumechelewa sana twende Mbele, mbele kwa mbele Jeshi hapaa Mpeni kura Samia mpeni kura Mpeni kura jamani mpeni kura Ajisikie Yupo nyumbani Mpeni kura Samia mpeni kura Mpeni kura mama apewe kura Ajisikie yuko nyumbani