Natamani kuimba pengine ukasikia
Maneno yangu ya mwisho
Ila sauti ndo inagoma yan kama inakwaruza

Ukinitazama macho nimevimba
Nimekesha nalia
Na sijui lini mwisho mwili wa joto na homa
Yani mpka naunguza

Mapenzi hayana dhiaki
Mwenzko nishawaza nifaraki
Ama niende kotini nikashitaki
Kwamba unadhurumu furaha yangu
Mdomoni unamaji we samaki
Asa mbona ata kusema hutaki
Ama ndo nataka sitaki
Ina maana huzioni jitihada zangu

Pengine donda nilokupa limefuta upendo
Unajaribi kujilazimisha
Mengine unafanya kuniridhisha
Mwilii umekonda umebaki mifupa
Kulilia upendo basi moyo rudisha
Kama umenisamehe na yameisha

Kinyonge najiuliza bila majibu
Wapi ninapoharibu
Kina nachojaribu hakikupendezi

Utanikumbuka mpenzi uta
Utanikumbuka mpenzi utaa
Utanikumbuka mpenzi utaa
Mana wapo watakao kukosea
Na wasikili kosa (utanikumbuka mpenzi uta)
Umri wetu tunawaza kukuchezea hakuna wakukukosa eeh

Inaboa mapenzi yakishaisha
Licha yakujitoa mwenzangu kumridhisha
Eti mara yupo busy yupo busy
Alipo hataki nimuulize
Anajua lazima iniumize
Imeandikwa samehe na husilipize

Wenda ata msamehe ulonipa ni kazi bure
Kama umeshindwa nifanya nijione kama yule
Wako wa zamani
I swear to ma body husimuamin rafiki anaekulipia kodi
Pengine anafurah we kumpigia hodi
Hawezi support kukuona airport kila siku

Najiuliza bila majibu wapi napoaribu
Kila nacho jaribu hakikupendezi

Utanikumbuka mpenzi uta
Utanikumbuka mpenzi utaa
Utanikumbuka mpenzi utaa
Mana wapo watakao kukosea
Na wasikili kosa (utanikumbuka mpenzi uta)
Umri wetu tunawaza kukuchezea hakuna wakukuposa eeh