Bomboclaaa- (Kimambo) Yow, yow Hivi ujana upoje (Ujana upoje) Ujana upoje (Ujana upoje) Hivi ujana upoje... Eeh (Ujana upoje) Ah, ujana upoje (Ujana upoje) Kuna muda naweka malengo Nikizipata nimiliki mjengo Niwekeze, niwe na kitengo Bosi, nikifa' niache pengo Ila pisi hizo, pisi hizo Nikiziona moyo unadunda tena (Pisi hizo, pisi hizo, nikiziona moyo unadunda tena) Pombe hizo, pombe hizo Nikiziona moyo unadunda tena (Pombe hizo, pombe hizo, nikiziona moyo unadunda tena Jamani moshi huo, moshi huo Nikiuona moyo unadunda tena (Moshi huo, moshi huo, nikiuona moyo unadunda tena Weh, mikeka hiyo, mikeka hiyo Nikiiwaza moyo unadunda tena (Mikeka hiyo, mikeka hiyo, nikiiwaza moyo unadunda tena Hivi ujana upoje (Ujana upoje) Ujana upoje (Ujana upoje) Hivi ujana upoje... Eeh (Ujana upoje) Ah, ujana upoje (Ujana upoje) Kitoto cha 2000 Huko nyuma kilivyo nawiri We huogopi? Huogopi? Anataka twende mara mbili Pekupeku bila kandambili We huogopi? Huogopi? How can I keep my money? Wenzangu wapo batani Ujana kitu gani? Mbona kila kitu natamani? Pisi hizo, pisi hizo Nikiziona moyo unadunda tena (Pisi hizo, pisi hizo, nikiziona moyo unadunda tena) Pombe hizo, pombe hizo Nikiziona moyo unadunda tena (Pombe hizo, pombe hizo, nikiziona moyo unadunda tena Jamani moshi huo, moshi huo Nikiuona moyo unadunda tena (Moshi huo, moshi huo, nikiuona moyo unadunda tena Weh, mikeka hiyo, mikeka hiyo Nikiiwaza moyo unadunda tena (Mikeka hiyo, mikeka hiyo, nikiiwaza moyo unadunda tena Hivi ujana upoje (Ujana upoje) Ujana upoje (Ujana upoje) Hivi ujana upoje... Eeh (Ujana upoje) Ah, ujana upoje (Ujana upoje) Vijana kuvawa nowe waiyo (Waiyo!) Eh (Dobi, dobi) Vijana kuvawa nowe waiyo (Waiyo, dobi, dobi) Ayo no mwana kuwanowewaiyo (Waiyo, dobi, dobi) Ayo no mwana kuwanowewaiyo (Waiyo, dobi, dobi) Jamani moshi huo, moshi huo Nikiuona moyo unadunda tena (Moshi huo, moshi huo, nikiuona moyo unadunda tena Bombo claat The Mix Killer