Jifanye unaenda mwenyewe wahuni wakutie roba Oya twende wote Naskia kwenye mashine Dj seven ni wa bukoba Oya twende wote Na dem akitaka bia we changanye na kiroba Oya twende wote Akitoka bila kuliwa kesho atakuona zoba Oya twende wote Oya twende wote (Oya twende wote) Yule mwenye kibunda (Oya twende wote) Uku kuna chupi zote Nai, Huddah hadi Tunda (Oya twende wote) Twende wo wo wo wo (Oya twende wote) Wo wo wo wo (Oya twende wote) Wo wo wo wo (Oya twende wote) Wo wo wo wo (Oya twende wote) Oya twende wote (Oya twende wote) Oya twende wote (Oya twende wote) Oya twende wote (Oya twende wote) Oya twende wo wo wo wote Oya twende wote (Oya twende wote) Oya twende wote (Oya twende wote) Oya twende wote (Oya twende wote) Oya twende wo wo wo wote Kuna vibe kinoma baby ziko nyingi oya twende wote (Oya twende wote) Misosi ya kutosha sufuria nyingi oya twende wote (Oya twende wote) Mitungi ni shozi kama tu konde boy oya twende wote (Oya twende wote) Yaani full full burudani kama tupo peponi twende wote (Oya twende wote) Kuna pisi ni kali zinaenda buza kwa mpalange (Oya twende wote) Urojo rojo rojo mafuta futa na makange (Oya twende wote) Kwani tuko wangapi tuiteni uber tujichange (Oya twende wote) Tujiboost na maji tukifika kule wasitupange (Oya twende wote) Oya twende wote Oya twende wote, Oya twende wote Oya twende twende twende wote Umeninywea bia muda wa kusepa ndo umefika (Oya twende wote) Unaondoka na wenzako bia zangu utatapika Eti mbona mbali kwetu usafiri ni uhakika (Oya twende wote) Nakaa uswahili lakini si ndo kunapitika (Oya twende wote) Twende wo wo wo Oya twende wote (wo wo wo) Oya twende wote (wo wo wo) Oya twende wote (wo wo wo) Oya twende (Oya twende wote) Oya twende wote (wo wo wo) Oya twende wote (wo wo wo) Oya twende wote (wo wo wo) Oya twende (Oya twende wote) Kama kudanga, Kunabamba (Oya twende wote) Twende sambasamba (Oya twende wote) Madem wenye misamba (Oya twende wote) Matipo tipo (Oya twende wote) Mimbao mimbao (Oya twende wote) Biriani na pilau (Oya twende wote)