Samia ni wetu sote Tunatamba nae Samia ni wetu sote Tunatamba nae Mama Samia ni wetu sote Tunatamba nae Samia ni wetu sote Tunatamba nae Acha waseme mchana Usiku watalala Acha waseme mchana Usiku watalala Acha waseme mchana Usiku watalala Acha waseme mchana Usiku watalala Za upole tabia Hivi ni nani kama samia Ona anavyotuhudumia Halali kugufikira Samia ni wetu sote Tunatamba nae Samia ni wetu sote Tunatamba nae Raisi wa wanyonge Samia Mchapakazi Samia Kama unawivu kajinyonge Samia Ila ukweli upo wazi Samia Samia ni wetu sote Tunatamba nae Samia ni wetu sote Tunatamba nae Mama Samia ni wetu sote Tunatamba nae Samia ni wetu sote Tunatamba nae Waite wabara visiwani Zanzibar, unguja na pemba Nataka niweke hadharani Nimechoka kuyaficha chemba Alambee Alambee mama Alambee Alambee Alambee mama Alambee Alambee Alambee mama Alambee Alambee Alambee mama Alambee Mama Samia Tumlete Tumkumbatie Tumbusu Ccm Walete Tuwakumbatie Tuwabusu Wapinzani Walete tuwakatekate Tuwatupe Samia ni wetu sote Tunatamba nae Samia ni wetu sote Tunatamba nae Raisi wa wanyonge Samia Mchapakazi Samia Kama unawivu kajinyonge Samia Ila ukweli upo wazi Samia Samia ni wetu sote Tunatamba nae Samia ni wetu sote Tunatamba nae Mama Samia ni wetu sote Tunatamba nae Samia ni wetu sote Tunatamba nae Alipo mama tupo Samia Vijana tupo Samia Alipo mama tupo Samia Wazee wapo Samia Alipo mama tupo Samia Bodaboda tupo Samia Alipo mama tupo Samia Wajasiliamali tupo Samia Samia ni wetu sote Tunatamba nae Alambee