Amen, amen, amen Tanzania Nchi yangu Mama Samia Rais wangu Hussen Mwinyi Rais wangu Amani upendp Ndio ngao yangu Tanzania Nchi yangu Mama Samia Rais wangu Hussen Mwinyi Rais wangu Bara na visiwani wee Mambo ni sawa Shetani alaaniwe Asije tugawa Tumuenzi Nyerere Abeid Amani Karume Wapiga kelele Acha roho ziwaume Naipenda Tanzania Hasa hasa ya samia Naipenda Tanzania Tanzania ya samia Mungu tubariki baba Amen, amen, amen Tanzania Nchi yangu Mama Samia Rais wangu Hussen Mwinyi Rais wangu Amani upendp Ndio ngao yangu Ni furaha Ni furaha Kuzaliwa Tanzania Ni furaha Nina furaha Ni furaha Najivunia Tanzania Ni furaha Bara na visiwani wee Mambo ni sawa Shetani alaaniwe Asije tugawa Tumuenzi Nyerere Abeid Amani Karume Wapiga kelele Acha roho ziwaume Naipenda Tanzania Hasa hasa ya samia Naipenda Tanzania Tanzania ya samia Mungu tubariki baba