Konde boy call me number one
Bakhresaaa
Mmmh

Picha na tattoo nitazifuta na kama pesa nitatafuta
Vipi kuhusu upendo wangu wa dhati
Wambea kama nawaona wakinisuta kiko wapi yamemkuta
Pindi nitakapokuwa sio tena wako wa dhati
(Mmmh)

Mapenzii wanaosema mapenzi yamezaliwa tanga
Nahisi wanakosea babe wangu wanamuonea
(Babe)
Taratibu macho fumba sikio la kushoto funga nibakishie la kulia
Kuna kitu nataka kukuambia nisikilize wakunyumba mimi mwenzako
Nikipata mavumba nitakuja kukuchumbua tutengeneze familia
(Me na wewe)

Sijui kama ntaweza kukuacha sidhani oouh no no
(Nasema sijui iih)
Mfano naweza namuachia nani
(Yeyeyee)
Sijui kama ntaweza kukuacha sidhani
(Sijui kama ntaweeeza)
Mfano naweza namuachia nani
(Iih iiih iiiih)
It feels like I'm falling love for the first time
I've never seen love like this before yes for sure

(Mmmh)

Yupo wapi yupo wapi mzuri wakumshinda babe wangu yuko wapi
Ooh yupo wapi anaejua thamani ya pendo langu yupo wapi
Nauliza yupo wapi ama mimi nimeshadate na wangapi yupo wapi
Ooh yupo wapi yupo wapi nimuone anaenijua mimi hakuna
Wengi wanakuja kunichuna wakijua kwamba pesa hakuna
Mara watanuna na kisa hakuna mape mapeenzi