Konde Boy call me "number one" Bakhresa! Ukiwa mvivu Ni rahisi sana kuwa na wivu Tulio jituma tuka archive Usitushangae Tukila mbivu Uliwaza mapenzi Tukawaza pesa Mh, ona yanavyo kutesa Sie kwetu sherehe Oya leo sherehe We don't really mind hata tukikesha Liwake hata ikiyesha Leo siku ya sherehe Leo siku ya sherehe Wanangu hukuu Kuna Sherehe Hukuuu tuna sherehe Huku ooh ni sherehe Leo huku kuna sherehe Hukuuu tuna sherehe Huku ooh ni sherehe Kuonga kubaya ukiwa huna Ila tulio jipata kwetu suna We jigambe Unamkuna Huku walio na meno wanatafuna Mwenye kisu kikali kala nyama leo Kidali kaachwa na jimama leo Kwetu kuna sherehee Oya leo sherehee ooh Mpaka kesho tumeanza leo Wasio toka wametoka leo Wameifata sherehe Oya kwetu kuna sherehe Uliwaza mapenzi Tukawaza pesa Mh, ona yanavyo kutesa Sie kwetu sherehe Oya leo sherehe We don't really mind hata tukikesha Liwake hata ikiyesha Leo siku ya sherehe Leo siku ya sherehe Wanangu hukuu Kuna Sherehe Hukuuu tuna sherehe Huku ooh ni sherehe Leo huku kuna sherehe Hukuuu tuna sherehe Huku ooh ni sherehe