This is for you, mama Wakisema ananidekeza wajibu Mtoto kwa mama hakui siku zote Na wakisema najipendekeza wambie karibu Uzuri hachagui ni mama yetu sote Umseme kwa mazuri hata machafu Nenda CHADEMA urudi CUF Atabaki kuwa mama Hakuna kama mama Alopewa na Mungu Hawezi nyang'anywa kwa rungu Hata wakija na majungu Na visenti vyao vya wazungu Taifa lishasema ni Samia tena Samia tena Samia tena Suluhu Samia Samia tena Samia tena Samia tena Suluhu Samia Samia tena Samia tena Samia tena Suluhu Samia Uraisi hakuomba Wala hakufikira Ila tunae muomba Ndie katutunukia Konde hata asiponiomba Kura yangu nitampigia Amekomesha Kongomba Mtwara kuchele tunashangilia Maji kila kona Buree Watoto wanasoma Buree Natibiwa homa Buree Nani kama mama Hakuna kama mama Atabaki kuwa mama Amerudisha ujamaa Kama unakerekwa hama Maana Hakuna kama mama Atabaki kuwa mama Amerudisha ujamaa Kama unakerekwa hama Alopewa na Mungu Hawezi nyang'anywa kwa rungu Hata wakija na majungu Na visenti vyao vya wazungu Taifa lishasema ni Samia tena Samia tena Samia tena Suluhu Samia Wote vijana na wazee Samia tena Samia tena Samia tena Suluhu Samia Samia tena Samia tena Samia tena Suluhu Samia Kondeboy Call me number one Number one And I did this for mama Konde music worldwide Worldwide Samia tena