Big boy

Ana kasura ka upole
Miaka nenda rudi hazeeki
Tena ni mtu wa gym gym
Shepu ndo linanipa wazim zim

Na tattoo nimchore
Ila ndo hilo tena hapendeki
Ama kweli mapenzi hayana mwalimu
Wengine hata kuniona ni adimu

Hivi tuseme ana ngekewa
Ama nyota yake kali ananizidi
Ama mjini nimechelewa
Ona wengine wanamponda wanamuita bibi

Nilianza kumuona mapema
Enzi za mabanda ya sinema
Alikuwaga ni rafiki na Wema
She is so cute

Acha wanione mshamba tu
Mtuta hawezi kunipigia honi
Umri nao ni namba tu
Kinachoniuma anajifanya haoni

Kama unamjua, mtaje
Nani anayemjua, mtaje
Kama unamjua, mtaje
Avimbe kichwa ajisifie

Basi kama unamjua, mtaje
Kama unamjua, mtaje
Kama unamjua, mtaje
Avimbe kichwa ajisifie

Anayelenga kwa rula siku zote ndo apatae
Mwambieni mwanangu Paula mi nampenda mamaye
Tena ni fundi wa kuchanua ah
Utasema samaki ng'onda
Hapo ndo nikagundua ah
Hii ni kiriwani za Makonda

Kwa dala dala dala, ninashindwa kulala lala lala
Anambadala dala dala, anaitoka ka... ka...

Hakika ye ndo kiboko yangu
Jua likiwaka ikinyesha
Utembo na ujeshi wangu
Getini kwake nilikesha

Mtihani wa mapenza hakuna aliyefuzu
Sawa unywe pombe na useme una udhu
Na mtu kisha penda unakuwa zuzu
Ati nawazaje kuwa mama zuzu

Kama unamjua, mtaje
Kama unamjua, mtaje
Kama unamjua, mtaje
Avimbe kichwa ajisifie

Eh, Big boy na Middo wanamjua
Chaupole anamjua
Anko Duke Naye anamjua
Sara Boy na Tembo wanamjua
Aizzakela wa mipango anamjua
Kingi Popa Mzambele wanamjua
Eeh eeh eeh

(Mixed by sonic)