Yaw yaw Jeshii Wapinzani wana hanya Kugombea kiti Wanajadiliana Wamchafue vipi Eti inakuaje mwanamama Anashika kijiti Awajibu mama Ni nguzo iliyosimama fit Ninachojua masela Huko mtaaani kuna dhiki Mama anafungua hela Jitume upate ridhiki Mafumbwa ndika kwadela Ccm hatukupi kiki Upepo haufati bendera Hapapatiki Onanana Mama kazi anaiweza Na ndio maana Me naimba na kucheza Ona inavyo mpendeza Eti kasimama kainuka na kucheza Mama kazi anaiweza Na ndio maana Me naimba na kucheza Ona inavyo mpendeza Eti kainuka kasimama na kucheza Mama teacher Teacher konde Teacher Teacher konde Mama teacher Teacher konde Teacher Teacher konde Mama kazi anaiweza Na ndio maana Me naimba na kucheza Ona inavyo mpendeza Eti kasimama kainuka na kucheza Mama kazi anaiweza Na ndio maana Me naimba na kucheza Ona inavyo mpendeza Eti kainuka kasimama na kucheza Ninachojua masela Huko mtaani kuna dhiki Mama anafungua hela Jitume upate ridhiki Mafumbwa ndika kwadela Ccm hatukupi kiki Upepo haufati bendera Hapapatiki Onanana Mama kazi anaiweza Na ndio maana Me naimba na kucheza Ona inavyo mpendeza Eti kasimama kainuka na kucheza Mama kazi anaiweza Na ndio maana Me naimba na kucheza Ona inavyo mpendeza Eti kainuka kasimama na kucheza Mama teacher Teacher konde Teacher Teacher konde Mama teacher Teacher konde Teacher Teacher konde Nhe Mwaka huu wanakutayonje Anakutayonje Nagakweli Mavantanda mwemama e mmakonde Kabisa We Umemuona mama Mama samia mama Naikakupweteka kalipambilile Teacher Teacher konde Teacher Teacher konde Mama teacher Teacher konde Teacher Teacher konde