Tanzania ya samia Inajengwa na watanzania Wenye macho Wanashuhudia Hatua tunazofikia Kila siku kila wiki kila mwezi Sina budi kuisifu Wizara yetu ya ujenzi Pongezi kwa TANROADS Mnachapa kazi kila leo Pesa za walipa kodi Ndio chachu ya maendeleo Asanteni TEMESA Mnachapa kazi bila kupepesa Vivuko vishawahi kututesa Mama kawekeza Nguvu na pesa Tanzania Inajengwa Tanzania kwanzaa Tanzania Inajengeka Tanzania kwanzaa Jamani Mama Anajenga Tanzania kwanzaa Barabara Zinajengeka Tanzania Hongereni TBA Mnachapa kazi Bila kurudi nyuma Tunayaona Majumba ya wafanyakazi Na watumishi wa umma Kwenye jiji la dar Arusha na dodoma Ooh ni furaha Iliyoje kuyaona Pongezi kwa TANROADS Mnachapa kazi kila leo Pesa za walipa kodi Ndio chachu ya maendeleo Asanteni TEMESA Mnachapa kazi bila kupepesa Vivuko vishawahi kututesa Mama kawekeza Nguvu na pesa Tanzania Inajengwa Tanzania kwanzaa Tanzania Inajengeka Tanzania kwanzaa Jamani Mama Anajenga Tanzania kwanzaa Barabara Zinajengeka Tanzania Tanzania Kondeboy call me number one Mtoto wa samia Wananiita konde Samia Suluhu