Yao yao Yeyeh ye yeeeeh Only you on my mind Nahisi mwengine hakuna kwenye hii dunia I don't know what to do never mind Hata salam unauchunaa, vimessage nikikutumiaa Ingawa silijui kosa ila fanya unisamehee Umeni adhibu vya kutoshaa japo imani nioneee Oh babyy Nikalala naotaaa Naota kama unaniita Ila nafsi inasitaaa ipo siku ntaitikaaa Ooh nikilala naoota Naota kama unaniita Ila nafsi inasitaa ipo siku ntaitika my baaaaaaaby I miss youuu Ukiona mtu mzima ma analia ujue kuna jambo I miss youuu Maji hayapandi mlima ma me kiwete siwez kwenda ng'ambo Nili sacrifice my love for you Uuu uuuuuuu Leo unaniona sifai na matusi juuu Uuu uuuuuuu Natamani urudi mama ila siwez kukuforce force Punguza makusudi drama hizo mbwembwe na vipost post Kutwa nashinda insta Nazitazama zako picha Usiombe bando likisha Me mpweke ila yote tisaa Ooooooh Nikilala naota, naota kama unanita Ila nasfi inasitaaa Ipo siku ntaitikaa Oooh nikilala naotaaa Naota kama unaniita ila nafsi inasita ipo siku ntaitika my baaaby I miss you Ukiona mtu mzima analia ma ujue kuna jambo Maji hayapandi mlima ma me kiwete siwezi kwenda nga'mbo I miss you Nikilala naota naota kama unanitaa ila Nafsi inasita mpenzi ipo siku ntaitikaaa