Kwanza n'na furaha, nitaimba na kucheza (Na kucheza) Washa mishumaa, weka keki juu ya meza (Juu ya meza) Oh, ila, usinicheke nimekuletea zawadi kidogo n'lichobarikiwa Haki mwana mpweke, aje na dumu la maji, asije kakumwagia Na kapicha kako nitaka-post, was'okupenda itawa-cost Leo siku yako nishajikoki, tuko rafiki zako, tunasema "Happy birthday" Happy birthday to you, happy birthday to you Happy birthday (Ah-ya-ya) to you, happy birthday to you Sinywagi pombe leo n'talewa Niwape shombe wal'ochelewa Zikinipanda monde nitapepewa Pembe la ng'ombe au malewa Ila usi-forgeti (Kusema), asante baba na mamaa wal'okukuza ukakua Tunakupa na keki (Kwa wema), akulinde Baba Maulana, twakuombea na dua Na kapicha kako nitaka-post, wasiokupenda nitawa-cost Leo siku yako nishajikoki, tuko rafiki zako tunasema "Happy birthday" Happy birthday to you, happy birthday to you Happy birthday (Ah-ya-ya) to you, happy birthday to you Kata keki, kata (Kata), oh, kata (Kata) Kata (Kata, kata unilishe) keki ya jina lako (Kata) Walishe na wenzako (Kata), tupo kwa ajili yako (Kata, kata unilishe) Basi kata (Kata), oh, kata (Kata) Kata nikwone (Kata), kata (Kata unilishe) (Kata, kata, kata, kata unilishe) Na kapicha kako nitaka-post