(Hallelujah hallelujah hallelujah hosanna) Hallelujah halleluuuu... hallelujah hallelujah hosanna (Hallelujah hallelujah hallelujah hosanna) Wee ishi kama haukosei Watalao panga halitokei Na kama ikiwa yako haipotei Mmmh ndo wa juu huwaga haongei Ukipata wanasema unaringa ukifulia wewe mjinga Wamezaliwa kupinga hata apangalo babaa ah Ebwana fanya unachokipenda mradi masiku yanakwenda Mkono kinywani unakwenda mshukuru mungu babaa Hallelujah hallelujah hallelujah oh hosanna (Hallelujah hallelujah hallelujah hosanna) Hallelujah halleluuuu... hallelujah hallelujah hosanna (Hallelujah hallelujah hallelujah hosanna) Piga kila deal inayopay Iwe mbagala osterbay Hakikisha kazi huichezei Maana boss aah Punguza uongo ukiweza kupunga na hongoo Usiendekeze migongoo dhambi kwa mungu babaa Ah ebwana fanya unachokipenda mradi masiku yanakwenda Mkono kinywani unakwenda mshukuru mungu babaa Hallelujah hallelujah hallelujah oh hosanna (Hallelujah hallelujah hallelujah hosanna) Hallelujah halleluuuu... hallelujah hallelujah hosanna (Hallelujah hallelujah hallelujah hosanna)