Bomboclaat Chinga again Konde music worldwide Mungu alonipa ukilema hawezi nunyima mwendo Na Sikupanga imenibidi kulivua pendo Maana mwanzo nilidhani utabadilika Of course hakuna aliekamilika Masaaa masiku miaka imekatika Nachukia kujiona nikilalamika Bora ugali dagaa kwenye amani Kuliko wali nyama vitani Mateso vitimbwi kurupushani Kama unajiona kichwa shingo nani Bora ugali dagaa kwenye amani Kuliko wali nyama vitani Mateso vitimbwi kurupushani Kama unajiona kichwa shingo nani mi sipendi Dharau, Manyanyaso Dharau, Masimango Dharau, Manyanyaso Siweziii siweziii Dharau, Manyanyaso Dharau, Masimango Dharau, Manyanyaso Siweziii siweziii Yeah, Me nilidhulumu nafsi kujikirihisha Nikiamini me mtu wa mtu Kumbe bora ninge chukuchuku Aaah kidogo Ninge fanya utukutu Moyo ndio ulikupa nafasi Chakusikitisha ninacho ambulia ni maumivu tupu Bora ninge chukuchuku Aaah kidogo Ams ningewapa wakifanye supu Kwako nilikuwa nyendo sina Nikijua you are my sestiny Sina wa kumtunzia heshima Kama hata wewe nitashindwa kukuthamini Nikweli utakwenda mazima Japo itakuwa ngumu kuamini Nitamisi michezo ya mama amina Yakucheza kwaku buruza ulimi Mapenzi ulionipa wewe Walahi Misikutamani mwengine we wakiapo Mwenzangu umebadilika wewe Japo minakupa kila utakacho Bora ugali dagaa kwenye amani Kuliko wali nyama vitani Mateso vitimbwi Na ndio maana hatuendani weeeh Dharau, Manyanyaso Dharau, Masimango Dharau, Manyanyaso Siweziii siweziii Dharau, Manyanyaso Dharau, Masimango Dharau, Manyanyaso Siweziii siweziii Dharau, Manyanyaso Manyanyaso Kondeboy call me "number one" Bakhresa