Inaniumiza ring Hello Hello Dear X, Nimepata tetesi Za kwamba unanisema ili nionekane si mwema Pengine unastress maana umekonda mwepesi Kwangu ukimya sio ukilema ila nachunga vya kusema Maana niliubeba msalaba ikawa mi ndo mama mi ndo baba Nikachanga tujaze kibaba Mbona hausemi Kiume nilishukuru nikapangusa matako nikakuacha uende Ukawe huru, Range na duka ni vyako mi nibaki na makende Kama ulizani nitafeli unangoja basi uko feli Siku nikilewa nitasema ukweli nchi ilivyogubikwa na matapeli Sina hasira wala kinyongo ila sipendi uongo Vijembe jembe na madongo ukitaka kutrend Round hii hainaga (haina kutia huruma) hainaga kutia Hivi ndio niseme nimejipata (hainaga kutia huruma) hainga kutia Maana mbona nazidi kutakata (haina kutia huruma) hainaga kutia Hainaga haiii haiiii (hainaga kutia huruma) hainga kutia Ehh Peke yangu nisingeweza Nisingeweza kuna kitu Mungu kaniongeza, kaniongeza Ona nazidi kupendaza nina pendaza na nipo bize na fedha Unacheka cheka tukuone ume move on mara unatuonesha vya nguoni Uhaligani uko moyoni sema sema Unacheka cheka tukuone ume move on mara unatuonesha vya nguoni Uhaligani uko moyoni sema sema Na kama ulizani nitafeli unangoja basi uko feli Siku nikilewa nitasema ukweli nchi ilivyogubikwa na matapeli Sina hasira wala kinyongo ila sipendi uongo Vijembe jembe na madongo ukitaka kutrend Round hii hainaga (haina kutia huruma) hainaga kutia Hivi ndio niseme nimejipata (hainaga kutia huruma) hainga kutia Maana mbona nazidi kutakata (haina kutia huruma) hainaga kutia Hainaga haiii haiiii (hainaga kutia huruma) hainga kutia Ring Hello Dear X