Yaw, yaw Dadika 1,440 Hunitoki boo Masaa 24 Houndoki tu Kwenye moyo wangu jenga Sawa Maana kila upano dunda Puh nataja jina lako Kwenye moyo wangu ishi Sawa Kila napo taka sema Suuh naiona sura yako You're my angle You're my everything You're my everything You're my sweetie Me nataka niwe Na wewe milele Don't you go away Sioni kama nitapata zaidi ya wewe Don't you go away Me nataka niwe Na wewe milele I know I know I know Uzuri uzuri wako unawapa chrfu Wenye chuki na hira Basi kama rahisi kuwa na shepu Wakajaribu mloganzira Eti nakesha nakuombea Ndo kisha najiombea 'Cause I see this love in the air And I promise to never share My baby boo Asa mbona huniishi hamu Kutwakucha nakuongelea Wewe nakuongelea And I swear Baby sio tu damu Hata figo nitakutolea Wewe nakutolea Mwenzako huko nyuma nishazunguka Sitaki hata kumbuka machungu Yale si mapenzi vitunguu Ila baby wewe Ulinifuta machungu Siku ukienda utaniuax mende kwa bonge la rungu Don't you go away Sioni kama nitapata zaidi ya wewe Don't you go away Me nataka niwe Na wewe milele Don't you go away Baby, baby Don't go away Don't you go away Sioni kama nitapata zaidi ya wewe Don't you go away Me nataka niwe Na wewe milele