Kwanza kako sex Pamela Kiuno kama kazaliwa Congo Ebu ni ka date Pamela Mikogo kama samaki kamongo Chumbani ni karate Pamela Vurugu kama show za Manfongo Navopenda deki Pamela Ulimi shingoni mpaka kwa mgongo Katoto katamu tamu Kanapenda pipi na chewing gum Kimoko nacum cum Kitanda kwichikwichi Ni bum bum Oh najua maana ya penzi burudani Na ndio maana nakupa kokote Singoji mpaka kitandani Ah yeah, Pamela Pamela She is hotter than fire Pamela Ukimuona utagwaya Pamela Zigo lazima ntafire Pamela Na kapenda ile mbaya Pamela Eeh my heart She de skata my heart Pamela Eeh my heart Kanaumiza my heart Eeh my heart She de skata my heart Pamela Eeh my heart Kanaumiza my heart Nilikutana nako Mbagala Kwa kina Lufufu Mkandala Mtoto mwali kidandala Mtamu kwa nguna na sangala, oh na Anavyopose mchokozi Nikiwa namwaga dose Napocheza na ngozi Hunikosi Pamela Mpaka majonzi kwa njozi Utamu kwa utosi Sinaga ubitozi Ni konzi Pamela Oh najua maana ya penzi burudani Na ndio maana nakupa kokote Singoji mpaka kitandani Yeah... Pamela Pamela She is hotter than fire Pamela Ukimuona utagwaya Pamela Zigo lazima ntafire Pamela Ooh nakapenda ile mbaya Pamela Mwenye mdomo wa kulamba koni Napozi za picha Na moyoni nimekuficha Picha ya mapicha picha Wazushi wanayonipa nipa Hayaumizi kichwa kichwa Wala kunitisha Usije nikatisha mood Kwa kufanya kusudi Ukaanza tena usiku na mchana Ma nenda rudi (rudi mama) Kifuani sita Tumbo hauna Na ukikatika Ndio kabisa Naumwa Njoo tucheze kibaku baku (Pamela) Tuwakomeshe manyaku nyaku (Pamela) Ukate taratibu yani nyatu nyatu (Pamela) Kitandani unimeze ile kichatu chatu Sikufichi Namiss kumuchezo kako kila mara Na ndio maana Huwa napita pekupeku Bila Ndala Show ndefu kwa body Nang'ala Ng'ala Navuruga shape Mwisho unabaki unagalagala Msodoki Pamela... She is hotter than fire Pamela Ukimuona utagwaya Pamela Zigo lazima ntafire Pamela Na kapenda ile mbaya Pamela Nakupenda sana