Sura yake mtaratibu Mwenye macho ya aibu Kumsahau najaribuu Ila namkumbuka sanaa Umbo lake mahbibu Kwenye maradhi alionitibu Siri yangu ukaribuu Bado namumbuka sanaa Alionifanya silali, jua kali Nitafute tukale Lakini hata hakujali darling Akatekwa na walee Alionifanya silali, jua kali Nitafute tukale Ila wala hakujali Darling, ah... Ntampata wapi kama yule Niliompendaga saana Ntampata wapi kama yule Nae anipende sana Ntampata wapi kama yule Niliompendaga saana Ntampata wapi kama yule Nae anipende sana Aii, aii nyotaa ahh Nyota ndo tatizo langu Aii nyota ahh Hadi nalia pekee yangu Aii nyota ahh Nyota ndio shida yangu Nyota ahh Wamenizidi wenzangu Alidanganywa na wale (walee) Wenye pesa nyumba gaari (gaari) Mi kapuku hakunijali (jaali) Akanimbiaa Alidanganywa na wale (walee) Wa mapesa nyumba gaari (gaari) Mi mnyonge hakunijali (jaali) Akanikimbiaa Alionifanya silali, jua kali Nitafute tukale Lakini hata hakujali darling Akatekwa na walee Alionifanya silali, jua kali Nitafute tukale Ila wala hakujali Darling, ah... Ntampata wapi kama yule Niliompendaga saana Ntampata wapi kama yule Nae anipende sana Ntampata wapi kama yule Niliompendaga saana Ntampata wapi kama yule Nae anipende sana Bado ananijia ndotoni (baado) Kila nikiamka simwoni (baado) Bado anjia nikilalaa Haki ya mungu sio masialaa Bado ananijia ndotoni (baado) Kila nikiamka simwoni (baado) Bado anjia nikilalaa Haki ya mungu sio masialaa Yo touch clever (baado) Hii ni sauti ya raisi Iliomshindaga ibilisi Kwa mwanadamu sio rahisi Kamwambie Lazima ujue kutofautisha Kati ya msalaba na jumlisha Kuna x ya kuzidisha Ni cheche (cheche...) Bado ananijia nkilalaa Haki ya mungu sio masialaa