Cha ah! Nimpende nani? Nimpende eeeh Nimpende nani? Nimpende aaah Nimpende nani? Nimpende eeeh Nimpende nani? Nimpende aaah Tai! We nilikuwaga na mupenzi akanizingua Hivyo nataka muenzi, wala maradhi naugua Isije siku miezi, naye akanisumbua Ikawa tena kitenzi, mzigo kutua Naogopa sana vichanga wa sasa Kwenye mapenzi wasije wakanitenda Nikazama na huku nna mapenzi ya kweli Wakanicha wakaenda We si unajua! Wazuri ni wengi lakini kumpata Mwenye mapenzi ya ukweli ndio bala Wengi ni wajanja watoto wa mjini Wamejawa utapeli, tamaa Wazuri ni wengi lakini kumpate Mwenye mapenzi ya ukweli ndio bala Wengi ni wajanja watoto wa mjini Nimpende nani? Cha ah! Nimpende nani? Nimpende eeeh Nimpende nani? Nimpende aaah Nimpende nani? Nimpende eeeh Nimpende nani? Nimpende aaah Yasiwe kama ya Wema Sepetu Kila siku magazeti Ajue nidhamu na mila ya kwetu Mjuzi kupeti-peti Usimtake ka 'Uwoya nimteme ana hasira Mpola kama Jokate Ila sauti ka' Wema akiwa analia Kicheko kama cha fetty Naogopa sana vichanga wa sasa Kwenye mapenzi wasije wakanitenda Nikazama na huku nna mapenzi ya kweli Wakanicha wakaenda We si unajua! Wazuri ni wengi lakini kumpata Mwenye mapenzi ya ukweli ndio bala Wengi ni wajanja watoto wa mjini Wamejawa utapeli, tamaa Wazuri ni wengi lakini kumpate Mwenye mapenzi ya ukweli ndio bala Wengi ni wajanja watoto wa mjini Nimpende nani? Cha ah! Nimpende nani? Nimpende eeeh (eh eh eh) Nimpende nani? Nimpende aaah (oh nimpende nani?) Nimpende nani? (mama ma) Nimpende eeeh (eh eh eh) Nimpende nani? Nimpende aaah (mi nimpende nani?) We nilikuwaga na mupenzi akanizingua Hivyo nataka muenzi, wala maradhi naugua We nilikuwaga na mupenzi akanizingua Hivyo nataka muenzi, wala maradhi naugua