Eti nawaza lini ntakua na jina namie? Uku minawazima naagiza pochi kwa China Uku wanadis minajituma, eti ntapata tabu Uku wanahisi minawasa, eti ntapata adhabu LINAWACHOMA Mama LINAWACHOMA! Eh LINAWACHOMA Mama LINAWACHOMA! Nahishi kwa mama bado kijana twacheza makereko Nikula nachotaka nanenepa mpaka navimba Twacheza malereko make' makereko Twacheza malereko make' makereko Wapenda collabo-naminitake hizo Nazile shobo niacheni nazo Umecheza mchereko machine kope akili mbovu Wameleta upepo na zinakutoka, pepo LINAWACHOMA Mama LINAWACHOMA! LINAWACHOMA Mama LINAWACHOMA LINAWACHOMA Mama LINAWACHOMA! LINAWACHOMA Mama LINAWACHOMA!