Uko kwa traffic bila AC
Unascroll tu malele IG
Niko na bed 6 uko kwa bedsitter
Siku hizi sura yenyewe ID
Naeza drive gari mkebe na steez
Naishi side ya njeve na trees, uh!
Naamkanga saa najiskia
Na navaa tai kaa najiskia

Luku safi juu stunnas
Oud satin mood lover
Nakeep time tukikutana
Na namake sure unacome first

Good manners, good heavens
Alafu good riddance
Nakuguarantee utanimiss (Wewe)
Nakugarantee utanimiss (Utanimiss)
Ukishajua mbona wote

Wananiita master, ama daddy
Nilizaliwa Nai
Hizi streets jina yangu ID
Inagonga kutoka far kama tai chi
Inagonga kutoka far kama tai chi
Inagonga kutoka far kama tai chi
Inagonga kutoka far kama tai chi
Kkkk kama tai chi
Kkkk kama tai chi

Nikidrop hawaezi kwara
Wanairukia ni kaa imetupwa nyara
Ukiangalia unaona tu msafara
Kaa siafu, na hizo tu ni dallaz
Nahesabu bila hitilafu
Bila wass, bila curfew
Najituma, navuna
Kama kuna works ya kuskuma naskuma
Hizi streets hazitakangi maduanzi
Kuna jam ya watu wanasaka ganji
Na ma youth wanaasha tu mabangi
Kulalia maskio hatutakangi

Ma scammer hutarget watu wa mũcatha
Brother, hapa kaa rada
Utadhania ni get rich quick
Kumbe zimedisappear ki abracadabra

Wananiita master, ama daddy
Nilizaliwa Nai
Hizi streets jina yangu ID
Inagonga kutoka far kama tai chi
Inagonga kutoka far kama tai chi
Inagonga kutoka far kama tai chi
Inagonga kutoka far kama tai chi
Kkkk kama tai chi
Kkkk kama tai chi

Wananiita master, ama my G
Na hawanisaidii
Hizi streets jina yangu ID
Inagonga kutoka far kama tai chi
Gonga kutoka far kama?
Gonga kutoka far kama tai chi
Gonga kutoka far kama?