Ni stupid kuargue na fools So siezi argue na fool Nakaanga cool Naona masnake Wameona check wakaanza kudrool Ni kaa wako ma shrooms Najua magoons Naangusha chwani unaona platoon Imekuja mtaani Na wako na tools Pew pew pew Ngojeni ni ash Nimedi Relax Niwafanye wasound redikyulass Mshaharibu wax Siezi watrust Nyi ni kaa Sunday hamnanga class Mi siendi loss Acha nicheke Unaongea ni kaa we ni boss? Unadai kulipwa ni kaa we ndio boss Na unaniitanga Munene? Hehe Hamjui nani mmecross Ask your sources nani ndio source Nyi ni kaa breakfast Nyi wote ni matoast Sausage samos Hamna asante Cash Cow Kaa hatulipani Ma agent Wanaendesha aje maporsche? Kimbia kwa blogs Enda ukatafte public support Ubuy nayo mkate Circle ni small wareal ni wafew wengi ni ma actor Nimeskia iko mtu wa mkono analia ati anataka kulipwa kama contractor Hao ni ma cancer Mfereji imefungwa, kama hiyo chapter Acha saa tuone nani atakukanja Vile hapa ulikuwa unakanjwa Unakula bars ni ka umedandiwa Tunaongelea character si ata maziwa Lines zinapiga unaona tu red kalilie masoja Unavamiwa Wow! Ni stupid kuargue na fools So siezi argue na fool Nakaanga cool Naona masnake Wameona check wakaanza kudrool Ni kaa wako ma shrooms Najua magoons Naangusha chwani unaona platoon Imekuja mtaani Na wako na tools Pew pew pew Shin Chilla leo Niko kazi Na sina patience ya fitina Whisky namimina Black Fuck hawa maduanzi Hao ni ma Mbilikimo wamesmama kwa shoulder za Shaq Tamaa ya ganji Inafanya bp inapanda wivu inakupea heart attack Wanaomba maji Na hata sijamaliza kuwapepeta hii ni Counter attack Ati mnatry? Ati kuniharibia image? Fuck hiyo image Tuongee kweli Naongea mavi unanusa sewage? Hatufanani Hatutoshani Unalisha family Nalisha village Nakuanga boss Unakuwanga worker Media ikikuita waambie hiyo ndio leakage: Chungana na ras Gold ndio color kwa glass Madranya wananiona wanablush Drip ya hawa mafala inaclash Shin ndio jina mafan wanatrust Udaku ni ufala Heshima ni must Gossip ni ufala Heshima ni must Na ukipima na crash Unakula bars ni ka umedandiwa Tunaongelea character si ata maziwa Lines zinapiga unaona tu red kalilie masoja Unavamiwa Wow!