Yeh! Niko hapa kuwapa muziki mzuri wako hapa tu kuwa famous Ama juu waliskia ma-rapper hupendwa na madem, bas' Wanajiita lyricists, kwa hizi interviews Na mimi tu ndio nimetoa lyric video ika hit a million views, how Ati nyash hii area si ulikam na ubaya Iko watu husema heri hata ungekwamia ulaya Umerudi wasanii wakaanza kuambiwa retire Secular lakini unaandika gospel fire Si live a lie, najua n'ta-sound kama niko ma drei but juzi walai Nilipanda matatu na trey na siuzi mayai Nimetoka mbali aisee na siishi rongai True story Klepto si mtarudiana lakini Hatujai achana tunaruadiana kwa nini Na machali wa inshalla mi name na hawa vijana wawili Tutazidi sana kando na kukosana niamini Tusipimane akili mi nina kichaa Waambie waache kujichokesha ulimi mi ndio teacher Enyewe manze wataacha lini, kujichocha ju ni clear Tukisimama hao na mimi mi ndio mna-prefer Aminia! oh na na na... Kuna tenje yangu fulani heri ibaki mteja tu Au nkitoka niachange kwa keja tu Najua ikilia ni mtu anataka favour tu Kila converstation ni ka deja vu Maisha imejaa na watu fake si uongo Na visu zakunidunga n'kiwageuzia mgongo Washa sense ntakafunga so wananyemelea Siezi afford kumwaga unga najitegemea Sieki imani kwa binadamu mimi Naeka imani kwa god si kwa sanam mimi Ah, ka s'kupendi s'kufichi No pretending hata simu zenu mi sishiki N'kuwe pissed kwa nini, siko pissed niamini mi niko bied Na go through vitu real ka nyinyi mimi pia Maybe tu argue beats au beer situezi argue ati iko rapper anatoa hits ka mimi Aminia Aminia! oh na na na... Philosophy yangu ni don't worry chema chajiuza Sijieki na don larry ama Martin Luther Nani huyo asiyenenwa na interview, sio mimi Nkianza hii kitu ni watu wa few waliamini Nabii hakosi heshima is'pokuwa kwa nchi yake Kwa jamaa zake na nyumbani mwake Nabii hakosi heshima is'pokuwa kwa nchi yake Kwa jamaa zake na nyumbani mwake Hii ni ya kila mtu uliza ka anapenda rapper akaniambia ako 50-50, yeah Kila mtu ana consider kuingia hii biz ya mziki but ameambiwa ati muziki hailipi Ka uko hapa juu ni passion bas' si kazi hata Ka we ni rapper juu ni fashion hatukutaki hapa Hii ni ya msanii yule anahangaika na guitar anaimba for free Na ataendelea hata ka anajua hata hajalipwa, yeah Hii ni kwa mtoi yeyote ako na dream Siku moja joh niwewe wataita king Jione umpanda stage na umeshika Usiwai sahau mahali umetoka juu umefika aminia S'choki, s'choki, s'choki Style mingi kushinda menu ya kinyozi Aminia Naeza fly wengine hawatoshi Aminia Aminia, aminia, aminia Aminia ...